Terms and Conditions-2026
VIGEZO NA MASHARTI
MASHARTI YA M-GAS RESOURCES LIMITED YA UTOAJI HUDUMA YAKE YA LIPA KADRI UNAVYOTUMIA GESI NA KUUZA JIKO LA KUPIKIA LA STOVU
Vigezo na masharti haya kama yalivyoelezwa katika waraka huu (Vigezo na Masharti) yanatumika kwa utoaji wa huduma ya lipa kadri unavyotumia gesi ya M-Gas Resources Limited, kampuni yenye dhima iliyo katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ofisi yake iliyosajiliwa inapatikana Plot No. 57, Ursino Estate, Uporoto Street (Bwawani), Postal code 14108, Mwananyamala Ward, Kinondoni District, P.O. Box: 75878, Dar es Salaam, Tanzania (M-Gas) kwa mtu anayeomba huduma hizi kutoka M-Gas (Mteja), kwa M-Gas kuuza na Mteja kununua Jiko la stovu (kama inavyoelezwa hapa chini).
- Tafsiri
- Utoaji wa Vifaa na Huduma
- Kabla ya Mkataba kuanza kutumika:
- Mteja atachukuliwa kuwa amekubali Mkataba, na marekebisho yatakayokuwa yanafanyika mara kwa mara:
- Wajibu wa M-Gas
- Wajibu wa Mteja
- a) atatumia tu vifaa vya kupikia chakula au vinywaji pekee;
- b) atatumia Vifaa katika eneo lenye hewa safi pekee;
- c) atatunza na kukilinda kifaa, ikihusisha (bila kikomo) kusafisha jiko baada ya matumizi na kufanya usafi wa kina angalau mara moja kwa wiki;
- d) hataruhusu mtoto au mtu mzima yeyote ambae hajapatiwa mafunzo na/au maelekezo yanayotolewa na M-Gas kwa ajili ya kutumia Kifaa;
- e) atatumia kifaa wakati kipo mbali na kitu chochote kinachoweza kuwaka; na
- f) atatumia jiko likiwa limewekwa juu kuliko mtungi wa gesi;
- Malipo ya gesi kwa M-Gas
- Uuzaji na Ununuzi wa Jiko
- 7,500 kwa Jiko jipya (pamoja na VAT) au TSh. 3,750 kwa jiko lililotengenezwa ambayo italipwa na Mteja kwa M-Gas baada ya kusaini Mkataba; na
- kwa mujibu wa kifungu cha 7, malipo ya ya awamu ya bei ya ununuzi ya TSh. 750 (pamoja na VAT) (kila moja, Awamu ya Bei ya Ununuzi) yatalipwa na Mteja kwa M-Gas kila wiki hadi wakati Mteja atapokuwa amelipa TSh. 85,500 (pamoja na VAT) kutoka malipo ya awamu ya Bei ya Ununuzi yote ya jiko jipya au TSh. 42,750 (pamoja na VAT) kwa jumla kutoka malipo ya awamu ya Bei ya Ununuzi ya jiko jipya. Mteja atalipa Malipo ya Awamu ya Bei ya Ununuzi Jumatatu (au siku nyingine ya wiki kama ilivyoarifiwa na M-Gas kwa Mteja) ya kila wiki (Siku ya Malipo);
- Huduma ya Matengenezo ya Jiko
- Taarifa za Mteja
- Ukomo wa Dhima
- Tukio Lisilozuilika (Force Majeure) na mambo yaliyo nje ya uwezo wa pande zote mbili
- Kuvunja Mkataba
- Umiliki wa Vibali vya “Carbon Credits”
- Jumla
